Source text in English | Translation by peter muiruri (#29654) |
I began the revision and realized that it was a humongous pile of excrement produced by Gurgle! | Nilianza kuisoma tena ndipo nikagundua kilikuwa kibunda cha taka kilicho tayarishwa na Gurgle. Hata hivyo niliistafsiri ipasavyo … lakini mteja wangu aliichukua ile tafsiri akampelekea mhariri mjinga wa mwisho aliyeiharibu kabisha. Kisha wakaichapisha ile waraka mbovu kwa mtandao na wakaweka jina langu. |