Source text in English — View comments about this source text » | Translation #12463 |
- "I'd give my right arm to be ambidextrous." - "When you come to a fork in the road, take it." - "You can observe a lot just by watchin'." - "Nobody goes there anymore. It's too crowded." - "I can't concentrate when I'm thinking." - "The future ain't what it used to be." - "I'm not going to buy my kids an encyclopedia. Let them walk to school like I did." - "We're lost, but we're making good time." - "Half the lies they tell about me aren't true." - "A nickel ain't worth a dime anymore." - "It's like deja-vu, all over again." - "It ain't over till it's over." - Mrs. Lindsay: "You certainly look cool." Yogi Berra: "Thanks, you don't look so hot yourself." - "If the world were perfect, it wouldn't be." | Ningegawa mkono wangu wa kulia kupata uwezo wa kuandika na mikono yote miwili. Ukifika njia panda, ifuate. Unaweza kuona mengi kwa kutizama tu. Watu hawaendi huko siku hizi. Kuna msongamano mkubwa wa watu. Siwezi kutafakari wakati nafikiri. Siku za baadaye si kama za hapo zamani. Sitawanunulia watoto wangu kamusi elezo, waache watembee kwenda shule kama nilivo fanya. Tumepotea, lakini kasi yetu ya mwendo ni nzuri. Nusu ya uongo wanaosambaza juu yangu, sio kweli. Shillingi haina tena thamani ya senti kumi siku hizi. Ni marudio yana jirudia upya. Hayajaisha mpaka ya ishe. Mama Lindsay: unaonekana umetulia. Yogi Berra: Asante, nawewe unaonekana kama vile, hali yako sii nzuri. Dunia ingekua timilifu, isinge kuwa dunia. |